Taarifa

Tazama zote

Kumasi, Ghana

Ramani ya Nchi Ghana

Karibu EQWIP HUBs

EQWIP HUBs ni mtandao wa kimataifa unaotoa nafasi ya ugunduzi kwa kuunganisha na kubadilisha mwelekeo wa kiuchumi wa vijana kupitia ujuzi wa kazi unaoendeshwa na soko, viatamizi vya ujasiriamali, mipango inayotekelezeka ya kijinsia, ushauri, mitandao, na misaada-mbegu kwa wajasiriamali wapya.

Gundua EQWIP HUBs Kumasi

Tushirikishe hadithi yako

Kama wewe ni mshiriki, mtu wa kujitolea, au mfanyakazi wa EQWIP HUB, tuambie juu ya uzoefu wako na EQWIP HUBs!

TUSHIRIKISHE HADITHI YAKO

SOMA HADITHI ZOTE

Matukio Yajayo

Je, wewe kijana wa eneo hili unayetafuta njia ya kuwa mshiriki? Kujua matukio yajayo, warsha, na vikao vya mafunzo yanayotokea katika EQWIP HUB.

JIFUNZE ZAIDI

Kutana na Timu

Sasa tovuti yetu ya EQWIP HUB inafanya kazi ya kukusanya na kuweka pamoja timu ya watu wenye dhamira ya kweli, elimu na sifa stahiki.

EQWIP HUBs imekirimiwa ufadhili, kwa sehemu, na Serikali ya Canada kupitia Global Affairs Canada.

Nembo ya Canada Global Affair